Katika kukuelekeza maarifa haya, tunatumia maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp (Calendar Designing Class); kwa kutumia voice notes, picha na jumbe za moja kwa moja.
Hapa utaweza kuelekezwa mambo yafuatayo.
1. Namna ya kutumia App ya DESYNER kutengeneza kalenda nzuri ndani ya muda mfupi; kwa kuweka mpangilio na picha uzotaka ziwepo.
• Kalenda za ukurasa mmoja (miezi yote 12 pamoja na jinsi ya kuweka picha).
• Kalenda za kurasa zaidi ya moja (miezi miwili miwili, mitatu mitatu, minne minne—kwa kila ukurasa nakadhalika).
2. Utapata maelekezo ya namna nzuri ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp na jinsi ya kuwatambua na kuwahudumia wahitaji wa kalenda zenye picha zao—wanazotaka ziwepo.
3. Utapata fursa ya kupata kitabu ambacho kinaandaliwa, baada ya mafunzo ya moja kwa moja. Kitabu kitatumwa inbox kwako WhatsApp—kipo katika fomati ya PDF.
NB: Hata ukianza leo haujachelewa, kwa sababu utapata maelekezo yako ya mwanzoni kwa audio zilizorekodiwa kwenye vipengele vya mwanzo; pia kwa kuuliza MASWALI yako na kujibiwa moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp—utapata mambo yote kwa urahisi.
No comments:
Post a Comment