Sunday, 18 April 2021

NEW BUSINESS LIFE AFTER SUNDAY.

Maarifa ya namna nyingine za kuendelea kunufaika kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp.

YALIYOMO KWENYE POSTI HII FUPI:
1. Ubunifu wenye rahisi wenye soko la uhakika mtandaoni kupitia WhatsApp.

2. Maarifa yanayokupa uhakika wa kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp ndani ya muda mfupi—kwa ajili ya kuwafahamisha uwepo wa huduma au biashara yako.

3. Vitabu vidogo vidogo vitano; vyenye maarifa rahisi kuyatumia katika kuingiza sehemu ya kipato chako—kupitia WhatsApp.

4. Ofa ya kitabu cha bure baada ya kununua kitabu kingine chochote.

No comments:

Post a Comment

DARASA LA UBUNIFU NA UUZAJI RAHISI WA KALENDA.

Darasa la maarifa ya kufanya designing ya kalenda yenye mpangilio na picha unazotaka—kwa kutumia smartphone. Katika kukuelekeza maarifa hay...